Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimkabidhi vitendea kazi baada ya
kumuapisha IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini
Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Machi 21, 2018.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashuhudia
Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi na IGP Mstaafu Ernest Jumbe
Mangu wakila kiapo cha maadili ya viongozi baada ya kuwaapisha kuwa
Balozi wa Tanzania nchini Urusi na Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 21, 2018.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais
Mhe Samia Suluhu Hassan, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi balozi John
Kijazi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Mhe Ramadhani Mwinyi pamoja na viongozi wa vikosi vya
Ulinzi na Usalama katika picha ya pamoja na Meja Jenerali mstaafu Simon
Marco Mumwi na IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu baada ya kuwaapisha kuwa
Balozi wa Tanzania nchini Urusi na Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika
Ikulu jijini.
Wednesday, March 21, 2018
RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAWILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment