Monday, March 26, 2018

NABII MKUU TANZANIA MH DK GEORDAVIE JANA AMEWATAMKIA BARAKA NA KUWAWEKEA WATU MBALIMBALI MIPAKA YA KIROHO DHIDI YA MWOVU MBAYA .

Picha ya GeorDavie Royal Mkuu 


Ni jumapili tarehe 26/03/2018 katika ibada ya jiji ya chuo kikuu cha manabii na aliweza kuelezea umuhimu wakuweka mipaka ya kiroho .

  •  Mipaka ya kiroho  huweka hualali wa umiliki 
  • mipaka ya kiroho huondoa  uonevu
  • mipaka ya kiroho huleta utetezi
  • mipaka ya kiroho huleta urahisi wa kuhudumia mipaka 
  • mipaka ya kiroho huzuia uhalifu zidi ya watesi 
msomaji wetu wa nyufmradio.blogspot.com  kumbuka kama unahitaji huduma ya maombi usisite kupiga kwa namba zifuatazo,
namba  hizo hapa ni kama upo mkoani Arusha
  • 0784315191
  • 0787315191
Kama upo mkoani Kilimanjaro
  • 0754315191
Kama upo mkoani Singida
  • 0655315191
Kwa mkoani Mbeya
  • 0754847816
Mkoa wa Dar es salaam.
  • 0759112244
Ukiwa Babati.
  • 0767112244
Kwa mkoa wa Morogoro.
  • 0713112244
Kwa mkoa wa mwanza.
  • 0783783030
Basi msomaji kwa mawasiliano hayo utaweza kuhudumiwa  pia sikiliza N.Y.U REDIO 99.3 ,kupitia internet tumia link ya www.nyufmradioonline.radio12345.com

BY RICHARD SHIYO OR THE RICH VOICE
CHANZO-MAKAO MAKUU YA NGURUMO YA UPAKO DUNIANI.


No comments:

Post a Comment