Sunday, January 28, 2018

BREAKING NEWS:MKUU WA MKOA WA ARUSHA MH MRISHO GAMBO AKUTANA NA NABII MKUU TANZANIA MH DK GEORDAVIE LEO JUMAPILI.

 


"Jioni Hii ya Leo tarehe 28/01/2018 Mkuu Wa Mkoa Wa Arusha Mh Mrisho Gambo ,Amekutana Na Nabii Mkuu Mh Dk Geordavie Katika Hoteli Ya The Arusha By Sheraton Ili Kusalimiana Na Kupokea Baraka Za Kinabii".



Katika Mazungumzo  Yao  Mh Mkuu Wa Mkoa amekiri Kuwa Aliwahi Kuhudhuria Ibada Za Ngurumo Ya Upako kwa mwaka  2008 ,Alipokuwa Masomoni Katika Chuo Cha Uhasibu Arusha ,Na Kusema Kuwa Alikuwa Akibarikiwa Sana Na Huduma Anayoitoa Baba Mh Nabii Mkuu Dk Geordavie."
Katika Tukio Hilo Mh Mkuu Wa Mkoa Aliambatana Na Mke Wake Pamoja Na Watoto Wake.
 

No comments:

Post a Comment