Monday, January 15, 2018

Dari la jengo la soko la hisa laanguka Jakarta

An ambulance arrives at the Indonesian Stock Exchange building following reports of a collapsed structure inside the building in Jakarta


Dari la jengo la jengo liliko soko la hisa mjini Jakarta limeanguka na
kuna ripoti za majeruhi kadhaa.
Picha zinazosambaa mitandaoni zinaonyesha vipande vya dari hilo, viti vilivyovunjika na vumbi.
Hadi watu 15 wamepatikana wamejeruhiwa kwa mujibu wa msemaji wa polisi mjini Jakarta, Argo Yuwono.
Watu kadha walionekana wamebewa kutoka kwa jengo hilo.

No comments:

Post a Comment