Tuesday, January 2, 2018

NABII MKUU TANZANIA MH DK. GEORDAVIE ATEMBELEA MADUKA YA AIM MALL ILI KUTIMIZA NENO LA KINABII LA MWAKA 2018.

Nabii mkuu Mh Dk. GeorDavie  amefanya ziara ya kutembelea maduka ya AIM MALL jijini Arusha kama ishara ya kutimia kwa neno la kinabii la mwaka 2018 lisemalo ni mwaka wa kuvuka mipaka ya malengo yako.
Image may contain: 5 people, people standing

Akiwa katika ziara hiyo nabii mkuu ametembelea maduka mbalimbali yakiwemo ya mavazi ,electronic, pamoja na samani.
Aidha watu mbalimbli wanaomwamini nabii walifika katika eneo hilo ikiwa ni njia mojawapo ya kutii kauli mbiu ya mwaka huu inayosema fuata maelekezo ya kinabii.
Wakizungumza na N.Y.U Radio watu mbalimbali wamefurahishwa na ziara hiyo huku wakiona kuwa wamepanda thamani kimasha.

No comments:

Post a Comment