Wednesday, February 7, 2018

MWANASHERIA MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU.

IMG-20180207-WA0000[1]


Mwanasheria  Mkuu wa Serikali Dk.Adelardus Kilangi  jana ( Jumanne) amekutana na  kufanya mazungumzo  na Waziri Mkuu  Mhe. Kassim Majaliwa ikiwa ni sehemu  ya kujitambulisha kwa viongozi mbalimbali.  Viongozi hao wawili  walibadilisha mawazo  juu ya masuala mbalimbali  na kuahidi kushirikiana kwa  karibu.

No comments:

Post a Comment