Tuesday, February 6, 2018

Watu Wametakiwa Kutoogopa Katika Maisha Yao Kwani Mungu Akishabariki Kuinuka Ni Lazima

                              mchungaji wa huduma ya ngurumo ya upako Paul Mkumbo.

Ukimwamini Mtumishi  Wa Mungu Na Maneno Akutamkiayo  Lazima Ufanikiwe Kwa Maana Mungu Ndiye  Anamtumia  Kuwaepusha Watu Wake Na Maovu Mabaya Ya Shetani

Hiyo Ni Moja Ya Kauli  Katika Mahubiri Ya Mchungaji Paul Mkumbo Alipokuwa Akifundisha Kwa Siku Ya Leo Ambapo Aliweza Kuhubiri Somo Lenye Kichwa Kisemacho "Amini" Huku Amiongeza Kuwa " Amini Tuuu Muujiza Wako  Upo Mbele Ya Maisha Yako."Amesema Mkumbo.
Aidha Mchungaji Paul  Amesema Kuwa Unapotembea Kwa Unyenyekevu Unashinda  Na Utakuwa Huru Na Utabadilisha Maisha Yako Kwa Kuwa Bwana Akikutazama Hakuna Adui Atakayekugussa Maishani 

 mtumishi mwanafunzi wa huduma ya ngurumo ya upako bib Liberata Daniel
Kwa Upande Wake Mtumishi Mwanafunzi Bib Liberata Melchiades Amefundisha Somo Lililokuwa Na Kichwa Kisemacho  Bwana Amekutazama  Na Kusema Kuwa  Mungu Humuinua Mtumishi  Wake Ili Wengine Wainuke Na Kuwa Juu  Katika Maeneo Mbalimbali Maishani .


katika ibada hiyo watu ,mbalimbali waliweza kuhudhuria kama unavyoowaona baadhi ya watu hapo chini katika picha


 Baadhi ya watu waliohudhuria ibada chuo cha manabii kwa siku ya leo

Ibada Za Chuo Cha Manabii Ndani Ya Huduma Ya Ngurumo Ya Upako Huwa Ni Kila Siku Za Jumanne Na Alhamisi Huku Kwa Siku Ya Jumapili Huwa Ni Ibada Ya Chuo Kikuu Cha Manabii Au Ibada Ya Jiji .
 

 
   
 






No comments:

Post a Comment