Friday, February 16, 2018

Trump lawamani na sheria ya silaha

Shughuli ya kuwasha mishumaa kuwakumbuka waliouwawa 

Chama cha Democrats kimewashutumu Rais Donald Trump na Spika wa bunge la nchi hiyo Paul Ryan kwa kukataa kuruhusu mjadala wa sheria ya kumiliki silaha.

Hiki ndicho kituo cha kazi alichopangiwa Balozi Dkt Slaa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Februari, 2018 saa 3:00 asubuhi atawaapisha Mabalozi wawili aliowateua kuiwakilisha Tanzania katika nchi za Nigeria na Sweden.

WENGER AIPONGEZA ARSENAL BAADA YA KUIBUKA NA USHINDI SWEDENI

Arsene Wenger amekipongeza kikosi chake cha Arsenal kwa namna walivyomudu mazingira mageni na kuifunga Ostersunds FK ya Swedeni kwa magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi ya Europa

Watanzania wawili wakamatwa China wakiwa na kete 129 za dawa za kulevya

Watanzania wawili, Baraka Malali na mkewe Ashura Musa wamekamatwa nchini China wakiwa wamemeza

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya February 16

Thursday, February 15, 2018

Afrika Kusini: Ramaphosa kuapishwa kuwa rais

Cyril Ramaphosa 
Mwenyekiti wa chama tawala cha ANC Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuapishwa kuwa rais wa Afrika Kusini baada ya rais wa taifa hilo Jacob Zuma kujiuzulu.

Rais Magufuli Akimuapisha Mnadhimu Mkuu Wa JWTZ

Rais John Magufuli amemuapisha Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed.

Maofisa 18 Watimuliwa Uhamiaji

Idara  ya Uhamiaji imewatangaza maofisa 18 wa ngazi tofauti kutohusika ama kutambua huduma yoyote itakayotolewa nao kwa sababu si wafanyakazi tena.

BREAKING: Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini Ajiuzulu

Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Jacob Zuma ametangaza kujiuzulu nafasi yake, baada ya kushinikizwa na chama chake cha African National Congress (ANC).

Morgan Tsvangarai Afariki Dunia


Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai amefariki dunia nchini Afrika kusini.

Polisi kumchunguza Freeman Mbowe

Kamanda wa Polisi Kinondoni, Murilo Jumanne Murilo amefunguka na kusema kuwa jeshi hilo sasa linachunguza kauli alizotoa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuhusu kifo cha Kiongozi wa CHADEMA kata ya Hananasif, ambaye mwili wake uliokotwa ukiwa na majeraha.

Mahakama Yamwachia Huru Mwenyekiti za Zamani wa UVCCM

Mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Dodoma imemwachia mwenyekiti wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Sadifa Juma Khamis baada ya upande wa Jamhuri kuwasilisha maombi ya kuifuta kesi iliyokuwa ikimkabili.

Waziri Mkuu Atoa Maagizo Mazito Jijini Mwanza

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa wilaya na watendaji wa halmashauri kutoka maofisini kuwafuata wananchi maeneo yao ili kusikiliza kero zao.

Wednesday, February 14, 2018

Watatu wakamatwa na Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya kwa kukutwa na Meno ya Tembo

Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio makubwa ya uhalifu.

Katibu wa Bunge Azungumzia Afya ya Spika Job Ndugai

Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amesema hali ya afya ya Spika wa Bunge, Job Ndugai aliyepo nchini India inaendelea vizuri.

Monday, February 12, 2018

Kim Jong-un aishukuru Korea Kusini kwa makaribisho mema

Photo of the North Korean delegation and Mr Kim 
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ameisifu Korea Kusini kwa jitihada zake nzuri za kuukaribisha ujumbe kutoka Kaskazini wakati wa mashindano ya olimpiki ya msimu wa baridi.

Mke wa Trump Jr apelekwa hospitalini baada ya kufungua bahasha yenye unga

The couple have five children together 
Mke wa mtoto wa Rais Trump, Trump Jr, Vanessa Trump, amepelekwa hospitalini kama njia ya kuchukua tahadhari baada ya kufungua bahasha yenye unga mweupe.

ARDHI YASABABISHA MGOGORO KATI YA FAMILIA NA SERIKALI MJINI GEITA

Baadhi ya eneo ambalo linalalamikiwa na Sizya Mashirungu kuvamiwa na kujengwa shule na serikali kinyume na makubaliano kati yake halmashauri ya Mji wa Geita. 

ANTONIO CONTE AKUNWA NA MASHABIKI CHELSEA IKISHINDA

Kocha wa Chelsea, Antonio Conte, amewapongeza mashabiki wa timu hiyo kwa kumuunga mkono, baada ya jana kupata ushindi mzuri wa magoli 3-0 dhidi ya West Bromwich katika dimba la Stamford Bridge.

Zuma apewa saa 48 kujiuzulu

Wanachama wa ANC waliogawanyika 


Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu, wadhfa wake huo.
Kwa mujibu shirika la Utangazaji la Afrika Kusini -SABC- na vyanzo vingine vya habari, hatua hii inakuja baada ya mlolongo wa mazungumzo yaliyofanywa na chama tawala cha nchini humo ANC.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya February 13

Friday, February 9, 2018

BALOZI WA NABII MKUU TANZANI MTUME SEKELA N'TONDOLO JANA AMEONGOZA IBADA YA CHUO CHA MANABII.

 PICHANI JUU NI BALOZI WA NABII MKUU TANZANIA MTUME SEKELA N'TONDOLO

Imeelezwa kuwa wakristo wengi wamekuwa wakiishi kwa hofu kwa sababu hawataki kumshirikisha mungu shida zao.

NABII MKUU TANZANIA MH DK. GEODAVIE LEO ANAPOKEA MICHANGO YA KUSAPOTI GEORDAVIE TV.

 LEO NI 09/02/2018  ,SIKU YA KUSAPOTI GEORDAVIE TV  WATU MBALIMBALI MNAKARIBISHWA KUCHANGIA GEORAVIE TV NDANI YA ENEO LA MJINI MWA DAUDI KISONGO ARUSHA .

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine

Seneta Rand Paul katikati akiwa na marafikize kutoka kwa bunge la uwakilishi muda mfupi baada ya bunge la seneti kuitisha mapumziko 


Huduma za serikali ya Marekani zimekwama baada ya bunge la Congress kushindwa kupitisha mkakati muhimu wa bajeti yake kwa wakati unaofaa.
Wabunge walitumai kwamba watapitisha matumizi mapya kabla ya muda wa kufadhili bajeti hiyo kukamilika

Bashe awahenyesha mawaziri watano, wakutana kwa dharura

Mawaziri watano jana walilazimika kufanya kikao cha dharura bungeni baada ya uongozi wa Bunge kuagiza serikali itoe majibu kutokana na hoja ya Mbunge wa Nzega Mjini (CCM), Hussein Bashe.

Godbless Aibua Upya Sakata la Matibabu ya Tundu Lissu Bungeni

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amehoji sababu za Bunge kutogharamia matibabu ya Tundu Lissu aliyepo nchini Ubelgiji tangu Januari 7, 2018 akipatiwa tiba ya mazoezi.

Polisi watakiwa kuweka mikakati endelevu ili kuboresha afya za wanaowahudumia

Wataalamu wa afya wa Jeshi la Polisi wametakiwa kujiweka tayari katika kujadili changamoto na kuibua mikakati endelevu ili waweze ku

Waziri Mkuu Majaliwa ahamasisha uliamaji wa mazao matano makuu ya biashara

Serikali inaendelea na mpango wa kuhamasisha ulimaji wa mazao makuu matano ya Pamba, Korosho, Tumbaku, Kahawa na Chai nchini ili kuongeza uzalishaji wa mazao hayo.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya February 9

Thursday, February 8, 2018

Gambia inajiunga upya katika jumuiya ya madola

Adama Barrow 

Takriban miaka mitano baada ya kujitoa katika jumuiya ya madola leo Gambia inajiunga upya.
Sherehe inafanyika leo Alhamisi katika makao makuu ya jumuiya hiyo mjini London kuidhinisha kurudi kwa nchi hiyo kama taifa mwanachama wa jumuiya ya madola.

Korea Kaskazini kuonyesha uwezo wake wa kijeshi kabla ya Olimpiki

Magwaride ya kijeshi ya hapo awali yamekuwa yakionyesha uwezo wa kijeshi


Taifa la Korea Kaskazini linatarajiwa kuandaa maadhimisho ya 70 ya gwaride la jeshi lake kabla ya kufanyika kwa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi nchini Korea Kusini.

Tazama Hapa Msimamo,vinara Wa Mabao Na Kutoa Pasi Za Mabao Ligi Kuu Ya Vodacom Tanzania Bara

Sakata la Pasipoti Mpya Lazidi Kunoga......Uhamiaji Yawatuhumu Wanasiasa, Yawataka Wananchi Wawapuuze

IDARA ya uhamiaji nchini imewataka watanzania kupuuza habari zinazozagaa kuhusu uvumi wa pasipoti mpya kuwa zimechakachuliwa.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya February 8

Tambwe Hizza wa Chadema Afariki Dunia

Mwanasiasa mkongwe na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tambwe Hizza amefariki dunia asubuhi ya kuamkia leo (Alhamis ) akiwa nyumbani kwake kwa ugonjwa wa pumu.

Wednesday, February 7, 2018

MWANASHERIA MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU.

IMG-20180207-WA0000[1]

PROF. KABUDI: “HAKUNA MGONGANO WA KIMAMLAKA KATIKA KATIBA YA TANZANIA NA ZANZIBAR”

Serikali imesema Kikatiba hakuna mgongano wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katiba ya Zanzibar unaosababisha ongezeko kubwa la kero za Muungano na mgongano wa kimamlaka baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.



Hayo yamesemwa na Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi bungeni jana mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Wingi Mhe. Juma Kombo lililohusu mgongano wa Katiba hizo.




Prof Kabudi alisema kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka utaratibu mahususi wa kushughulikia tafsiri

Habari Ziliizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya February 7.


SERIKALI YAMFURUSHA MIGUNA, ADAIWA KUELEKEA CANADA.



Mwanasiasa wa muungano wa upinzani nchin Kenya Nasa, Miguna Miguna amefurushwa na kupelekwa nchini Canada kupitia ndege ya KLM , kulingana na wakili wake Nelson Havi na Cliff Ombeta.
Image result for Miguna Miguna
Bwana Ombeta amesema kuwa aliarifiwa kwamba bwana Miguna aliingizwa katika ndege iliokuwa ikielekea Amsterdam na baadaye kuelekea Canada.

Tuesday, February 6, 2018

Watu Wametakiwa Kutoogopa Katika Maisha Yao Kwani Mungu Akishabariki Kuinuka Ni Lazima

                              mchungaji wa huduma ya ngurumo ya upako Paul Mkumbo.

Ukimwamini Mtumishi  Wa Mungu Na Maneno Akutamkiayo  Lazima Ufanikiwe Kwa Maana Mungu Ndiye  Anamtumia  Kuwaepusha Watu Wake Na Maovu Mabaya Ya Shetani

Warford yailaza Chelsea 4-1

Watford ilifunga mabao matatu ya dakika za lala salama kushinda mechi ya kwanza ya mkufunzi Javi Gracia dhidi ya Chelsea

Watford ilifunga mabao matatu ya dakika za lala salama kushinda mechi ya kwanza ya mkufunzi Javi Gracia dhidi ya Chelsea ,ushindi unaompatia shinikizo kali mwenzake wa Chelsea Antonio Conte.

Cameroon Mwenyeji wa Afcon 2019

CAF yapitisha Cameroon mwenyeji mashindano ya Afcon 2019

Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya Cameroon kuwa wenyeji wa fainali za AFCON mwaka 2019 michuano ambayo inayotarajiwa kuanza June saba hadi Julai saba, kutokana

Waziri Mwigulu: “Mikoa ya Kaskazini inaongoza kwa wahamiaji haramu”

Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba amelitaka jeshi la polisi kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa na kwamba taasisi hiyo ndiyo inayoshughulika na haki za watu na wasipofanya kwa uadilifu yapo madhara makubwa kwa jamii na kutoka kwa wahalifu.

Mahakama yaagiza Nabii Titto apime upya akili

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imeagiza mkazi wa mtaa wa Ng’ong’ona Manispaa ya Dodoma Tito Machibya, maarufu kama ‘Nabii Tito’ (45) kupimwa akili upya katika Taasisi ya Afya ya Akili ya Mirembe Isanga mkoani Dodoma ili kujiridhisha kama ana matatizo ya akili.

Bombardier Nyingine na Boeing 787 Kutua Nchini Julai Mwaka Huu

Ndege mbili; moja aina ya Bombardier na nyingine kubwa Boeing 787 yenye uwezo wa kubeba abiria 262 zilizonunuliwa na serikali, zinatarajiwa kuwasili nchini Julai mwaka huu.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya February 6

WATU WAKUMBUSHWA KUHUDHURIA IBADA YA CHUO CHA MANABII HII LEO JUMANNE

Kadinali wa pili wa Huduma ya Ngurumo Ya Upako mchungaji Elizabeth Humphrey amewakumbusha watu wote kuhudhuria ibada ya chuo cha manabii itakayofanyika hii leo kuanzia majira ya saa sita kamili mchana  katika hema la kukutania kisongo arusha.