Thursday, September 28, 2017

imeelezwa kuwa mtu anapokubali nguvu ya mungu ingie moyoni mwake anapata nguvu maishani


kauli hiyo imetolewa na mtumishi wa huduma ya ngurumo ya upako mtume  rose abel  wakati akihubiri katika ibaa ya chuo cha manabii iliyofanyika mchana huu kwenye chuo kikuu cha manabii kisongo arusha.
mtume rose alifundisha somo lililokuwa na kichwa kiasemacho "jinsi nguvu ya mungu  inavyotenda kazi maishani "ambapo amesema kuwa unapopokea nguvu ya mungu maishani inakutoa katika hofu na kumweka mtu katika maisha yenye nguvu ya mungu na furaha .
pia amewataka watu wayafanyie kazi maneno mbalimbali ya kinabii watamkiwayo ili yaweze kufanya kazi maishani mwao ,




No comments:

Post a Comment