MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA GAS
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
amefungua mkutano wa siku mbili wa wadau wa Mafuta na Gesi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt. Medard
Kalemani wakati wa mkutano wa siku mbili wa wadau wa Mafuta na Gesi
uliofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa siku mbili wa wadau wa
Mafuta na Gesi ambapo wadau wa Gesi na Mafuta watapata nafasi ya
kujadili Fursa zilizopo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment