Basi
la kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha,
limepinduka eneo la mabanzini mjini Babati na kusababisha vifo vya watu
wawili huku wengine wakijeruhiwa.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara akizungumza juu ya ajali hiyo alisema kondakta na mtoto mdogo ndiyo walifariki.
No comments:
Post a Comment