Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amezungumzia suala la
kuokotwa miili ya watu kwenye viroba katika fukwe za bahari ya Hindi, na
kusema suala hilo tayari lipo mikononi mwa Jeshi la Polisi kwa
uchunguzi zaidi.
Sirro
amesema kweli taarifa hizo zimelifikia Jeshi la Polisi, na kwamba
tayari miili ipo
wenye utambuzi kwa kuchukua vinasaba ili kujua ni raia wa nchi gani, na kisha litatangaza kwa watu walipotelewa na ndugu zao kwenda kuangalia kama ni wao.
wenye utambuzi kwa kuchukua vinasaba ili kujua ni raia wa nchi gani, na kisha litatangaza kwa watu walipotelewa na ndugu zao kwenda kuangalia kama ni wao.
Kamanda
Siro aliendelea kwa kusema kuwa pamoja na kwamba watu wanafikiria
mauaji hayo yamefanywa na Jeshi la Polisi, wafahamu kwamba wao kama
Jeshi la Polisi huwa hawana kificho, kama wamekutana kwenye mapambano
wamewaua watu wataweka wazi kuwa wameua, na siyo kwenda kuwatumbukiza
baharini.
No comments:
Post a Comment