Thursday, August 24, 2017

WATU WAALIKWA KATIKA IBADA YA CHUO CHA MANABII NGURUMO YA UPAKO

Kadinali wa pili wa huduma ya ngurumo ya upako Mchungaji Elizabeth Humphrey amewaalika watu wote kuhudhuria ibada ya chu cha manabii inayofanyika hii leo katika hema la kukutania ngurumo ya upako kisongo Arusha.
Akizungumza na N.Y.U Radio ofisini kwake Mchungaji Elizabeth Humphrey amesema kuwa ni vyema kila mmoja kushiriki ibada ili kuendelea kujaa neno la mungu kutoka kwa watumishi wa mungu wanaotumika chini ya nabii mkuu Mh
Dk GeorDavie ambapo kila mmoja ataondoka na Baraka ambazo Nabii mkuu amekuwa akiziachilia katika madhabahu.

Huduma ya ngurumo ya upako ibada za katikati ya wiki ni kila siku za jumanne na Alhamis ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali hufika katika hema la kukutania kwa ajili ya kupokea uponyaji.

No comments:

Post a Comment