Tuesday, August 22, 2017

MAJENGO 22 YA ZAHANATI YAKOSA WATUMISHI NA VIFAA TIBA MBEYA.

Majengo 22 yaliyojengwa na wananchi kwa makusudi ya kutumika kama zahanati katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya kwa miaka minne sasa, hayatumika kwa kukosa watumishi na vifaa tiba.
Responsive image

Kaimu mganga mkuu wa wilaya ya Mbeya Dkt. Jacques Kempanju amethibitisha tatizo hilo ambalo linawakosesha wananchi haki yao ya msingi ya kupata matibabu karibu.

Mbunge wa jimbo la Mbeya vijijini, Oran Njeza amesema ugawaji wa vifaa hivyo utazingatia maeneo ambako kuna uhaba wa vifaa tiba .

No comments:

Post a Comment