Serikali
imetaifaisha magari matatu ya kifahari kati ya saba yaliyokutwa na Rais
Dkt. John Pombe Magufuli kwenye makontena, alipofanya ziara ya
kushtukiza bandarini na kubainika hayakuwa na Nyaraka stahiki.
Mkurugenzi
wa Mashtaka nchini Biswalo Mganga amesema kuwa Mahakama ya hakimu Mkazi
Kisutu imeamuru washtakiwa wa magari hayo Sulatani Ibrahimu rai wa
Uganda na Ramadhani Ukwaju wa Tanzania kulipa faini.
Kati
ya Makosa wanaoyoshatikiwa nayo watuhumiwa hao ni pamoja na udanganyifu
kwa maafisa forodha kuhusu vitu walivyokuwa wameviingiza nchini ambapo
nyaraka zao walionyesha walikuwa wameingiza viatu na nguo za mitmba
lakini kwenye makontena kulikua na magari hayo ya kifahari.
Aidha
Kosa lingine wanaoshatikiwa watuhumiwa hao ni pamoja na kusabiashia
serikali hasaara zaidi ya milioni tisini kutokana ukwepaji wa kodi
kutoka na uingizaji huo wa magari ya thamani kwa kulipa ushuru kidogo wa
nguo na viatu.
No comments:
Post a Comment