Tuesday, August 29, 2017

BUNGE LA CHINA LAUWEKEA SHERIA WIMBO WA TAIFA.

Bunge la China linatafakari juu ya rasimu ya sheria ambayo itarasimisha kuwa ni kosa la jinai linalostahili hukumu ama kifungo juu ya tabia ya kudharau wimbo wa kitaifa wa nchi hiyo.
China
Kosa kubwa zaidi litakalochukuliwa kama uhalifu mkubwa ni kwa wale,
wanaorejelea maneno ya wimbo huo wa taifa na kutumia mashairi ya wimbo huo vibaya, watakapokamatwa na kuthibitika kutenda kosa hilo, wao watahukumiwa kifungo cha miaka kumi a mitano jela.
Mamlaka nchini China wanataka watu ambao watajitolea kuzingatia matukio rasmi, kama vile mikusanyiko ya kisiasa na katika michuano ya mpira wa miguu.

Mwandishi wa BBC  amesema kwamba Rais Xi Jinping Ametaka kuweka heshma ya asili na bidii ya utawala wake na kuweka uzalendo mbele kwanza katika kipindi cha mitano ya kwanza katika ofisi.

No comments:

Post a Comment