Monday, July 24, 2017

MENDY ATUA MAN CITY NA KUWA BEKI GHALI ZAIDI DUNIANI

Beki Benjamin Mendy amekamilisha uhamisho wa paundi milioni 52 kutoka Monaco na kutua Manchester City na kuwa beki ghali duniani.

Beki huyo wa kushoto wa Ufaransa mwenye miaka 23 ametia saini mkataba wa miaka mitano na Manchester City.
 

Mendy anakuwa mchezaji wa tano kusajiliwa na Manchester City katika kipindi 

cha usajili cha msimu wa joto ambapo wametumia paundi milioni 200 hadi sasa.
 

No comments:

Post a Comment