Monday, July 24, 2017

NABII MKUU MH DK. GEORDAVIE USIKU WA LEO ANATARAJIA KUWEPO RADIO LIVE.

Nabii Mkuu Mh Dk. Geordavie pamoja na mchungaji kiongozi Mama Anna Davie wanatarajiwa kuwepo radioni leo majira ya saa mbili na nusu hadi saa tatu na nusu  usiku katika kipindi cha kusapoti magurudumu ya radio.  
 

Pia katika kipindi hicho Mh. Nabii Mkuu atafafanua kuhusu ujio wake wa Jumapili
hemani kisongo, Ratiba ya Pipa day pamoja na kutamka matamko ya kinabii.
Aidha Nabii Mkuu Dk.GeorDavie atakuwepo katika hema la kukutania kisongo Arusha jumapili ya Tarehe 30.

No comments:

Post a Comment