Saturday, July 22, 2017

NABII KUU TZ DK GEORDAVIE KESHO ATAHUDUMU KATIKA IBDA YA JIJI YA CHUO KIKUU CHA MANABII.


Nabii mkuu tz Mh DK GEORDAVIE kesho atafanya ibada ya jiji ya chuo kikuu cha manabii ambapo ametoa wito kwa watu wote aliowahi kuwahudumia kuja siku hiyo ya jumapili ya tarehe 23/07/2017 lakini pia akatoa na mwaliko kwa watu wote kuhudhuria .


katika ibada hiyo pia nabii mkuu dk GEORDAVIE  ametoa maagizo watu waje na sadaka maalumu ya sh 13,000/=

mjulishe na mwezako juu ya taarifa hii kwani nabii mkuu amesema kuwa atafanya dua maalumu kwaajili ya watu waweze kuwa na akili za mwilini pamoja na akili za rohoni  , 

aidha nabii mkuu jumapili iliyopita aliwatangazia watu waliohudhuria ibda hiyo  wiki mbili za kusimikwa katika nafasi mpya ya baraka maishani.

KWA TAARIFA KAMILI ENDELEA KUFUATILIA N.Y.U REDIO 99.3 FM AU WWW.NYUFMRADIOONLINE.RADIO12345.COM UZIDI KUHABARIKA NA KUFAHAMU MENGI .

No comments:

Post a Comment